Dawa ya kuondoa makovu sugu mwilini

Dawa ya kuondoa makovu sugu mwilini

Fadhili05

New Member
Joined
Feb 12, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Mambo vipi,

Naomba kujua kama kuna dawa ya kuondoa kovu, nilipata ajali ya boda nikapiga uso baada ya kupona nikabaki na kovu

Je, kuna dawa ya kuondoa hilo kovu na kama ipo inaitwaje ili niitafute?

Natanguliza shukrani.
 
Pole mkuu. Kuna watu watakuja kuuliza picha iko wapi.
 
Back
Top Bottom