Dawa ya kuondoa nguvu za kiume

Gwaje

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
299
Reaction score
85
Mie ni kijana mwenye umri wa miaka 35 nimekuwa katika ndoa kwa miaka 6 sasa. Mwanzoni nilikuwa nauwezo mzuri wa kufanya tendo la ndoa , muda unavyosonga uwezo wangu umekuwa ukipungua na hivyo mke wangu hafurahii tena tendo hili. Hali hii imekuwa ikimfanya hata kutokuwa huru kufanya tendo hilo kwa hali yangu ya sasa na huniambia siwezi kumridhisha kama anavyopaswa kufanyiwa na mwanaume wa ukweli.

Sina kinyongo kwa hilo na ndio sababu naomba dawa itakayonifanya uume wangu usisimame tena ili nisifanye tendo hilo kabisa ili niishi kwa amani nayekwakuwa halidhiki awe huru kuridhishwa na mwingine na tutaendelea kulea watoto wetu.

Kwa unayejua dawa tafadhali nipm ili nipate msaada nimechoka kufikilia na kujieleza sana kuhusu kupeana tendo la ndoa wakati kuna mambo mengi ya muhimu kufanywa.
 

kwa hiyo hili si la muhimu katika ndoa. Nilitee mkeo awe mpango wangu wa pembeni.
 

Dawa hiyo ipo lakini inasababisha kuwa Shoga. Upo Tayari kwa hilo ndugu?
 
Ukistaajabu ya mwigulu utayaona ya komba! Umetisha mkubwa nenda hospital wakuhasi ila ni kinyume za haki za binadamu..lakin chonde chonde usije ukaingia kundi la kina hoyugi,boflo na secret.
Cc: watu8

=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
Last edited by a moderator:
namba yake ya simu nimekupm tafadhali
 
Aiseeh hii kali ya 2013 cjawh ona ile leo nimesikia
 

Badilisha kichwa cha habari umekosea kuongeza nguvu sio kuondoa nguvu alafu rudi tukupe mawazo
 
Dawa rahisi ya kumaliza nguvu ni "kugeuzwa". Ukigeuzwa nguvu zako zote zitakwisha. Tafuta wataalam wa ugeuzaji wakutengeze haraka.
 
Dawa rahisi ya kumaliza nguvu ni "kugeuzwa". Ukigeuzwa nguvu zako zote zitakwisha. Tafuta wataalam wa ugeuzaji wakutengeze haraka.

uliisha jaribu ukaona raha yake?????????????????/
 
astaghfirullah.....mkuu ni nani mshauri wako wakaribu?
 
Pole sana. ulilokuwa nalo ni tatizo kubwa na kwa bahati mbaya tatizo hilo limewakumba wengi lakini
wanakufa kiofisa na ndoa kusambaratishwa.
Cha msingi hapa utoke wewe na mkeo mwende muhimbili na uwaeleze wataalam wa fani hiyo kwanza watakupima halafu watakushauri vitu gani vya kufanya hasa upande wa lishe na watakupa dawa. Tafadhali sana usitumie viagra ya kizungu wala yakikwetu kutatua tatizo lako.
Dont give up man!!!!!!!!
 
Nasikia ukimpa beberu la mbuzi likushughulikia eti nguvu zinaisha kabisa. Sina uhakika lakini.
 
Ndugu sasa hapo utakuwa unamkomoa mkeo ama wewe binafsi? Fikiri kabla ya kutenda!!
 

kula asali kwa wingi,na matikiti maji
 
uliisha jaribu ukaona raha yake?????????????????/
Sihitaji kujaribu maana uwezo wangu hauna dosari na mai waifu wangu hajawahi kulalamika kwamba anapungukiwa huduma.
 
be serious pls mwenzio ana tatizo anahitaji msaada

tatizo analo yeye, hahitaji msaada anataka kifo. huwezi kuwa na akili timamu ukataka kufanya anachotaka.
 
tatizo analo yeye, hahitaji msaada anataka kifo. huwezi kuwa na akili timamu ukataka kufanya anachotaka.

kwani anataka nini l;abda mie sijamwelewa vizuri hbu nieleweshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…