Jamani wana jamvi naomba msaada wa dawa ya kuondoa rangi nyekundu ya macho maana kuna mkoa mmoja
amabao ukitembelea na macho mekundu unauwawa kama mchawi sasa naomba kama kuna mtaalam anayejua dawa
ya kuondoa wekundu huu.

TIBA: Weka macho yawe safi na uyakoshe kwa maji ya waridi kila wakati. Epusha macho kutokana na joto, baridi, moshi, vumbi, macho yasitumie nguvu sana kama vile kusoma sana. Tumia dawa za kulainisha choo ikiwa hupati choo vizuri kwa sababu pia huchangia katika maumivu ya kichwa na macho.awe pia anakula karoti.