Bondemania
Senior Member
- Jan 12, 2012
- 103
- 39
Sasa Bondemania unataka dawa ya apetite ya kitu gani hasa,fafanua ili uweze kusaidiwa!Tafadhalini naomba kwa anayejua dawa ya kuongeza anijuze,iwe ni hebal or clinical kwangu sawa,please kama huna la kuchangia naomba upite tu kuliko kuweka utani na vitu kama hivyo,hii ni serious ishu wakuu
Jaribu sumu ya panya. We unaandika vitu nusu nusu halafu unasema upo serious sasa tukupe msaada gani kiushauri?
Hahaaha.....Mkuu acha uchokozi, kwani wewe unazijua aina ngapi za apetite? Hebu zitaje!Sasa Bondemania unataka dawa ya apetite ya kitu gani hasa,fafanua ili uweze kusaidiwa!
Dawa ya hamu ya kula chakula mkuu,example ugali etc
so una tafuta hamu?
Tafadhalini naomba kwa anayejua dawa ya kuongeza anijuze,iwe ni hebal or clinical kwangu sawa,please kama huna la kuchangia naomba upite tu kuliko kuweka utani na vitu kama hivyo,hii ni serious ishu wakuu