dawa ya kuongeza ashiki

dawa ya kuongeza ashiki

Jamani mimi ninapata shida sana ninapo sikia eti kijana amemaliza chuo anataka kuoa au kuolewa na anataka dawa za kungeza nguvu za kiume au ashiki shida iko wapi? sisi old scholars tangia tumalize chuo mwaka 1947 wakati CRDB inaitwa LAND BANK mpaka sasa tunapiga mzigo kama kawaida na wala hatuhitaji nyongeza ya dawa kunanini watoto wadogo kuanza kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume au ashiki? hamjui kuwa baadae miili yenu itakuwa tegemezi yaani itashindwa kabisa kuamka mpaka utumie dawa? aliye waambia mapenzi ni vita ni nani? sasa sikilizeni ashiki haitafutwi kwa dawa ila kwa kumuandaa mwenzi kwa mbinu na muda wa kutosha mpaka atapata ashiki tu vinginevyo awe mlemavu na kingine ni psychology , je yuko tayari kwa hicho kitendo au amekurupuka na anafikiria nyumbani wanamtafuta au kuna mtu anampenda zaidi yako na anahisi anamsaliti au kuna kitu huja mfurahisha na ameweka mbali hisia zake kwako. Acheni kufikiria madawa.
mkuu vijana wengi wana matatizo hayo , tatizo kubwa naweza sema hasa dar ndiyo tatizo , wote hawajui nini chanzo , ila kwa kuanzia ulaji wa chipsi kuku ,mayai ni tatizo , acheni kwa muda then uone
 
Kama atakuwa ni mwanaume ndiye mwenye hiyo shida nitaweza kumsaidia kwani zipo lishe asilia kwa ajili hiyo
 
kila mtu awe anatembea na kitabu cha maandiko matakatifu ya Mungu mkononi. Mtapata ashki tu mkija oana.

Ha ha ha...kwa sababu hakuna lisilowezekana ukiliamini neno au siyo?
 
Back
Top Bottom