dawa ya kuongeza ashiki

mkuu vijana wengi wana matatizo hayo , tatizo kubwa naweza sema hasa dar ndiyo tatizo , wote hawajui nini chanzo , ila kwa kuanzia ulaji wa chipsi kuku ,mayai ni tatizo , acheni kwa muda then uone
 
Kama atakuwa ni mwanaume ndiye mwenye hiyo shida nitaweza kumsaidia kwani zipo lishe asilia kwa ajili hiyo
 
kila mtu awe anatembea na kitabu cha maandiko matakatifu ya Mungu mkononi. Mtapata ashki tu mkija oana.

Ha ha ha...kwa sababu hakuna lisilowezekana ukiliamini neno au siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…