mkuu post yako ya kwanza hii imeanza kwa mkwara!!vipi unataka uongeze maumbile?wanajamvi hivi ni kweli wanaosema wanauza dawa za kuongeza maumbile ya kiume wako sahii ama ni matapeli kuna dawa yakufanya maumbile yaongezeke amandio wanataka wale miela ya watu wanaokurupuka
weka picha
Ya umbile analotaka kuongeza?
kweli mkuu itasaidia katika kumshauri dawa ipi atumieweka picha
Mkuu kuna Dawa za kisasa zinaongeza Uume wako wasiliana na Mkuu MziziMkavu atakupa hizo dawawanajamvi hivi ni kweli wanaosema wanauza dawa za kuongeza maumbile ya kiume wako sahii ama ni matapeli kuna dawa yakufanya maumbile yaongezeke amandio wanataka wale miela ya watu wanaokurupuka