dawa ya kuongeza maumbile

dawa ya kuongeza maumbile

micha3l

New Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
3
Reaction score
0
wanajamvi hivi ni kweli wanaosema wanauza dawa za kuongeza maumbile ya kiume wako sahii ama ni matapeli kuna dawa yakufanya maumbile yaongezeke amandio wanataka wale miela ya watu wanaokurupuka
 
mkuu post yako ya kwanza hii imeanza kwa mkwara!!vipi unataka uongeze maumbile?
 
wanajamvi hivi ni kweli wanaosema wanauza dawa za kuongeza maumbile ya kiume wako sahii ama ni matapeli kuna dawa yakufanya maumbile yaongezeke amandio wanataka wale miela ya watu wanaokurupuka
Mkuu kuna Dawa za kisasa zinaongeza Uume wako wasiliana na Mkuu MziziMkavu atakupa hizo dawa
 
Back
Top Bottom