Vicent daudi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 354
- 80
Nina dawa nzurisana ya kuongeza ashirki kwa wanawake,nadhani itamfaazaidi kwa mengi zaidi ni pm au ntafute.0759217720
Janga la taifa mkuu tuko wengi sio huyo tu ukipata dawa niPM
Ana low libido
Kazi unayo Ingia chumvini
Najua wasichana wengi tu wana hili tatizo. Na nafikiri ukija na product hii utapata pesa nyingi
Natafuta dawa ya kuongeza nguvu za kike kwa ajili ya mpenzi wangu. Hivi karibuni nimepata mpenzi mpya, mtoto wa kichaga, mrembo kweli kweli. Figure, color kila kitu kimetulia na shule imelala.
Tatizo ni kwamba hafiki kileleni. Nimetumia uzoefu na ujuzi wangu wote lakini tumekutana mara 3 hadi sasa na zote katoka kapa. Ameniambia anatamani afike kileleni, lakini nimejitahidi kufanya kila kitu kinachowezekana lakini wapi.
Binafsi sina matatizo yoyote na haijawai kuwa kazi kubwa mimi kumfikisha mwanamke kileleni, ila huyu nimenyoosha mikono juu. Nafikiri atakuwa na upungufu wa nguvu za kike. Jamani mwenye dawa naomba anielekeze maana sitaki kumpoteza huyu binti, lakini kama hali itaendelea hivi bila kupata dawa basi huwenda tukaachana.
Mimi siyo mtaalam wa haya masuala ila nadhani jiangalie upya ktk suala zima la kumwandaa mwenzi wako kwa muda wa kutosha zaidi. Najua unamwandaa ila ongeza mbinu za maandalizi mpaka awe analainika kabisa.
Ashakwambia kaenda course ya kumuandaa mwanamke akimaanisha kua anajua kuandaa haswaaaaa hapa kinachojika ni dawa tu
No more advices
pamoja mkuu hili ni janga si kidogoAhaa kama ni dawa ajaribu kwanza hospitalini hasa kwa madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake nadhani watakua wanaijua dawa. Ikishindikana hapo aende kwa kina kalumanzila wa kuaminika huenda akapata msaada zaidi.
Asante.
pamoja mkuu hili ni janga si kidogo
Ahsante
Kwani wachaga wanafikaga kileleni? Toka lini?..
Kwani wachaga wanafikaga kileleni? Toka lini?..
Mchaga kufika kileleni ni vigumu maana wao huwa wanafikiria pesa utakayompa na si mapenzi unayompa. kazi unayo jitahidi kumpa pesa nyingi atafika tu kileleni wala usihangaike kutafuta dawa tafuta hela hapo utamfikisha mpaka alie