Dawa ya kuongeza nguvu za kike

Dawa ya kuongeza nguvu za kike

Chumvini unafika? Au ushamuuliza kama ashawahi kufika kileleni kabla yako? au anasikia tuu na yeye anataka afike huko kunako kilele.!!!
 
Ana low libido

Nafikiri mtu mwenye low libido anakua hasikii hamu ya kushiriki tendo. Yaani hana genye. Tofauti ni kwamba huyu anasikia hamu na kupsta genye. Na anasikia raha wakati wa tendo kakini hafiki kilele.
 
Natafuta dawa ya kuongeza nguvu za kike kwa ajili ya mpenzi wangu. Hivi karibuni nimepata mpenzi mpya, mtoto wa kichaga, mrembo kweli kweli. Figure, color kila kitu kimetulia na shule imelala.

Tatizo ni kwamba hafiki kileleni. Nimetumia uzoefu na ujuzi wangu wote lakini tumekutana mara 3 hadi sasa na zote katoka kapa. Ameniambia anatamani afike kileleni, lakini nimejitahidi kufanya kila kitu kinachowezekana lakini wapi.

Binafsi sina matatizo yoyote na haijawai kuwa kazi kubwa mimi kumfikisha mwanamke kileleni, ila huyu nimenyoosha mikono juu. Nafikiri atakuwa na upungufu wa nguvu za kike. Jamani mwenye dawa naomba anielekeze maana sitaki kumpoteza huyu binti, lakini kama hali itaendelea hivi bila kupata dawa basi huwenda tukaachana.

Mimi siyo mtaalam wa haya masuala ila nadhani jiangalie upya ktk suala zima la kumwandaa mwenzi wako kwa muda wa kutosha zaidi. Najua unamwandaa ila ongeza mbinu za maandalizi mpaka awe analainika kabisa.
 
Ashakwambia kaenda course ya kumuandaa mwanamke akimaanisha kua anajua kuandaa haswaaaaa hapa kinachojika ni dawa tu

No more advices
 
Ashakwambia kaenda course ya kumuandaa mwanamke akimaanisha kua anajua kuandaa haswaaaaa hapa kinachojika ni dawa tu

No more advices

Ahaa kama ni dawa ajaribu kwanza hospitalini hasa kwa madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake nadhani watakua wanaijua dawa. Ikishindikana hapo aende kwa kina kalumanzila wa kuaminika huenda akapata msaada zaidi.
Asante.
 
pamoja mkuu hili ni janga si kidogo
Ahsante
 
wewe mwenyewe una uhakika unamfikisha au unatwanga mahindi kutandani tu.....
 
Dawa yake ndogo sana ila inahitaji muda kdogo,mpige mimba akishazaa uje utupe majibu
 
Mchaga kufika kileleni ni vigumu maana wao huwa wanafikiria pesa utakayompa na si mapenzi unayompa. kazi unayo jitahidi kumpa pesa nyingi atafika tu kileleni wala usihangaike kutafuta dawa tafuta hela hapo utamfikisha mpaka alie

Mnaosema anawaza pesa mnauwakika kila mchaga anashida na hela au??? Cku iz kila mtu anapenda pesa ht we mnyaru ukiangushiwa ela hapo utaziludisha??,,,,,,,, mi n mchaga na ninajivunia na kileleni nafika na nikiienjoy labda awe na shida za kiafya c pesa
 
Back
Top Bottom