Prisoner 46664
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 1,948
- 1,238
Nna rafiki yangu mmoja kipenzi sana na siku zote alikuwa mcheshi na mwenye furaha sana,lakini mambo yalibadilika sana baada ya kupata ajali na kuumia sehemu za kiuno,amekuwa anakunywa sana na kuonekana amekata tamaa,baada ya kumsisitiza sana aniambie kwanini amebadilika ndo akaniupa siri kwamba ile ajali ilimpotezea nguvu za kiume na kwa mda wote huo amekuwa akitafuta dawa bila mafanikio,amekua akiangukia kwenye mikono ya matapeli na mke anatishia kuondoka kwa kukosa haki yake ya ndoa,so kama kuna mtu anajua dawa ya uhakika naomba anijulishe ili kuokoa hii ndoa inayoelekea kuvunjika..asanteni sana.
Yesu anayo dawa..lakini inahitaji imani kubwa...sio rahisi kama kwenda kwa mganga..ajipime achague