Dawa ya kuongeza unene/urefu wa uume.

Dawa ya kuongeza unene/urefu wa uume.

SHADRACK LUTOBECK

Senior Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
129
Reaction score
18
Kwa aliye na matatzo ya uume mwembamba,Nina dawa inayoongeza maumbile ya umbo la uume,ni dawa ya mitishamba iliyo na uwezo wa hali ya juu,inaufanya ume kuwa mnene na kukufanya uinjoy mapenzi kwa mpenzi wako.Pia kwa wale walio na matatzo ya ume mdogo kama wa mtoto mdogo,mwisho wa aibu hiyo ndo huu ipodawa nzuri sana inayorefusha uume na kuufanya ume wako uwe wa ukweli na wauhakika.Kama unamatatzo hayo nitafute.0759217720
 
Haya sasa jukwaa limevamiwa na waganga!
Hapo ukienda kwake anasaga viagra anachanganya na mkaa ili kuleta weusi anakupa unywe kabla ya kusex!
Bei utaambiwa laki au zaidi!
Kweli mjini shule.
 
Mi nnataka ya kupunguza urefu na unene wa dudu langu!
 
Acha kukosoa kazi ya uumbaji wa Mungu. Unataka kuwapa watu ulemavu wa siku zao za mbeleni.
 
Sasa haya mambo ya madawa yamekuwa too much, mimi naamini umadhubuti wa uume na nguvu za kiume unategemea na afya ya mtu pamoja na aina ya chakula anachokula. Kama Mwanaume anapata mlo wenye virutubisho vya kutosha na anapata mlo wa kutosha/kushiba, pia anafanya mazoezi ya kiasi ni dhairi huyu atakuwa Kidume cha mbegu. Kumridhisha mwanamke siyo kuwa na Dushe kubwa au nene bali ni kuzijua mbinu za kucheza na hawa viumbe, lakini wapo wagonjwa wa dushe kubwa Madame B. Labda wanawake watupe ufafanuzi ktk hili.
 
Last edited by a moderator:
Mie natafuta Dawa ya kuwa mrefu napata shida sana kupanda mabasi ya mbagala kwakuwa umeweza kutengeneza dawa ya uume ambacho ni kiungo kama miguu yangu
 
jamani watu mna mamboo kweli ndefu na nene za kupeleka wapiii..jitieni vilema mkiwa ------- shauri lenu..
 
Kuna yule wa juzi amesema anauza ya kuongeza ukubwa wa uke.. kwani bila hivo mtawaua na midude yenu mnayoongeza kila siku
 
mm ninayo dawa wala sihitaji pesa ya mtu, nitaelekeza ili jamii ijue isitapeliwe tena. Kuna mdudu anaitwa mavu tembo wengine wanawaita dondora. Fanya hivi umpate huyo dondora akiwa hai umfungie kwenye box dogo halafu ingiza uume kwenye box lengo akuume. Akikuuma toa uume mwache huru aende, kitakacho endelea kwako siku hiyo hiyo uume utanenepa na kurefuka na utaendelea kukua kiasi cha inch 3 zaidi ndani ya wiki2 mambo poa.
 
Mmh ww sindo muuaji akuu kwanza mm nataka lipunguwe
 
Back
Top Bottom