Dawa ya kupambana na ukungu na chumvi kwenye ukuta inaitwaje?

Dawa ya kupambana na ukungu na chumvi kwenye ukuta inaitwaje?

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Wadau,

Nyumba nyingi zinathriwa na kuta kubanduka sbb ya chumvi na fungus. Nasigia kunadawa ya kupaka kabla ya kupiga rangi.

Je, ni dawa ipi hiyo? Je, mikoani kama inapatikana?

Tupeane ushauri.
 
Chini kabisa kwenye blinding Kule wengine wanaweka DPM, ila ni pw zaidi kuweka Lami kama unajiweza.
 
Back
Top Bottom