Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni mwanamme afanyiwe prostate massage hasira zote zitaisha.
Ajiunge na kozi ya KARATE au KUNG FU kwa sababu zifuatazo. Kwanza itamsaidia hatakuwa akipigwa kizembe na kuumizwa mara anapokasirika. Pili ili kwenye hii michezo ya marshal arts kuna syllabus ya jinsi ya kudhibiti hasira yako hasa unapochokozwa na watu.
Muwe na hasira, lakini msitende dhambi
Mwenzio ana hasira hata akiona glass mbele yake anaivunjia ukutani. Hayo maji atakunywaje sasa.
Wanajamii habari za masiku?
Naomba mnisaidie hili tatizo ili niweze kumnusuru ndugu yangu.
Nina ndugu yangu ambae yeye ana hasira sana. Pia ni mtu ambaye huwa ni negative thinker, yaani endapo utamuomba ushauri yeye huwa anawazia negatively tu. Hivi karibuni alifanya vurugu na kupigana na watu matokeo yake aliumizwa sana. Huwa anajutia sana hizo hasira zake lakini anashindwa kuzi control.
Naomba mnishauri namna ya kuweza kumsaidia huyu ndugu yangu ili aondokane na hali hii.