Dawa ya kupunguza maumbile ya kiume

Dawa ya kupunguza maumbile ya kiume

The world is not equal at all..[emoji3] .

Wengine wanahaha kuongeza wengine wanahaha kupunguza..

Be gratefull for what you have..
 
huu utakuwa kama ule aliokutana nao bi kidude kule jagombe hadi akautungia wimbo..ila mbona inchi 6 ni sawa na cm 15 tu ambayo ni nusu ya rula? au umekosea vipimo mkuu?
 
Kuna msela wangu flan na yeye amebarikiwa aseee!ila anakosa dem ambae saizi yake!kuna siku alimpata dada flan anasifika kwa kina kirefu.ila jamaa alipeleka nusu dem anazidi kuulilia jamaa kupeleka hadi mwisho dem acha apige kelele eti ameingiziwa goti.yule jamaa kapata mzungu na amezaa nae sasahivi.nakushauri utafute mtasha wale kidogo wamebarikiwa mashimo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Nenda Hospital Watakuvisha Pete Ile Ambayo Utakuwa Unaingiza Uume wako Kwa Size Flani Hauingii wote Naona hiyo Ndo Itakuwa Njia Bora Lakini Kusema Unywe Dawa Upungue Sidhani Kama Dawa Ipo Aiseee

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Nina uume kwa urefu ni zaidi ya inch 6 na upana kama mguu wa mtoto!

Awali nilikuwa naona kama sifa lakini hivi karibuni nimegundua yakuwa mke wangu hafurahii tendo la ndoa na mara nyingi amekuwa akitokwa na damu baada na wakati wa tendo.

Miaka ya nyuma kabla ya ndoa nilikuwa na wapenzi tofauti tofauti na wengi walikuwa wananikimbia ktk eneo la tukio nikajua ni utoto tu wakikua wataacha.

Mbali na kumuumiza mwenza wangu pia hali hii inaniweka kwenye risk kubwa ya magonjwa ya zinaa pindi nikutanapo na wanawake wengine kwani michubuko ni kitu cha kawaida sana na mara zote kondom huchanika kwa kuwa ni ndogo sana kwangu na pia hunibana sana.

Nawasilisha naombeni msaada madaktari.
Mkuu usiwe na wasiwasi, wanawake wanaopenda mitalimbo ya haja watakuijia PM.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Kuna msela wangu flan na yeye amebarikiwa aseee!ila anakosa dem ambae saizi yake!kuna siku alimpata dada flan anasifika kwa kina kirefu.ila jamaa alipeleka nusu dem anazidi kuulilia jamaa kupeleka hadi mwisho dem acha apige kelele eti ameingiziwa goti.yule jamaa kapata mzungu na amezaa nae sasahivi.nakushauri utafute mtasha wale kidogo wamebarikiwa mashimo
Teeeh teeeh haya bwana
 
kweli yaliyomo yamo

Mkuu kungekuwa na ulazima au uwezekano wa kupunguziana angalau inch 2 hivi daa ungepata soko sema daaa nawe umezidi mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji3]
Amezidije?
Msaidieni ndoa take iko mashakani
 
Nenda Hospital Watakuvisha Pete Ile Ambayo Utakuwa Unaingiza Uume wako Kwa Size Flani Hauingii wote Naona hiyo Ndo Itakuwa Njia Bora Lakini Kusema Unywe Dawa Upungue Sidhani Kama Dawa Ipo Aiseee

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Unene nao utapunguzwaje, maana ni ndefu na bado ni nene
 
Back
Top Bottom