Dawa ya kupunguza maumbile ya kiume

Dawa ya kupunguza maumbile ya kiume

Ukii
Nina uume kwa urefu ni zaidi ya inch7 na upana kama mguu wa mtoto!

Awali nilikuwa naona kama sifa lakini hivi karibuni nimegundua yakuwa mke wangu hafurahii tendo la ndoa na mara nyingi amekuwa akitokwa na damu baada na wakati wa tendo.

Miaka ya nyuma kabla ya ndoa nilikuwa na wapenzi tofauti tofauti na wengi walikuwa wananikimbia ktk eneo la tukio nikajua ni utoto tu wakikua wataacha.

Mbali na kumuumiza mwenza wangu pia hali hii inaniweka kwenye risk kubwa ya magonjwa ya zinaa pindi nikutanapo na wanawake wengine kwani michubuko ni kitu cha kawaida sana na mara zote kondom huchanika kwa kuwa ni ndogo sana kwangu na pia hunibana sana.

Nawasilisha naombeni msaada madaktari.
pata dawa yake tusaidiane.... wahanga tupo wengi
 
Mm sio mtaalam mzuri wa vipimo ila ile ruler ya watoto wa shule nimeizidi kidogo mkuu
Nyie ndio mnashusha hadhi ya JF kwa mistory yenu ya kutunga,inawezekana ukawa na mpini mrefu lakini si kwa vipimo unavyovitoa,mara 6cm ,mara inchi 7 mara zaidi ya 30cm,UPUUZI MTUPU.
 
Back
Top Bottom