Dawa ya kurekebisha mzunguko wa hedhi

Huo mzunguko wa siku 28 ni toka ulipoanza kuona hedhi zako au ni hali imetokea hivi karibuni
Muone gynecologist katika hosptl ilio karibu
 
Morning,

Je kuna dawa ya kurekebisha mzunguko wa hedhi ambao uko chini ya siku 28?

Kuna Dawa Moja Hivi Inaitwa Anti-Clockwise Itafute au Muulizie nifah Atakupa Maelekezo Yake Zaidi Kwani Alikuwa Na Hilo Tatizo.
 
Last edited by a moderator:
Kuna Dawa Moja Hivi Inaitwa Anti-Clockwise Itafute au Muulizie nifah Atakupa Maelekezo Yake Zaidi Kwani Alikuwa Na Hilo Tatizo.

Hahahahahaaa GENTAMYCINE kwanini unanitafutia matatizo lakini?
Ujue nimekuta PM ya huyu dada nikashindwa hata cha kumjibu,kumbe wewe ndio umemuagiza.....
Mwaya Agricola Gerald usimsikilize huyu kaka yangu chizi namuelewa mwenyewe,sijui dawa yoyote.
 
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:.
 
Haya dear,me nlivoona post yake kaku mention nikajua u know about it ndo mana nika ku pm.
 
Last edited by a moderator:
Haya dear,me nlivoona post yake kaku mention nikajua u know about it ndo mana nika ku pm.

Wewe Mkabe Huyo Huyo nifah Mkuu Kwani Ni Daktari Mzuri Tu Na ALIYETUKUKA Sema Hataki Tu Kujulikana. Hata Mke Wangu Alikuwa Na Tatizo Hilo Hilo Na Alimtibu Hadi Sasa Mwendo Ni MDUNDO.
 
Last edited by a moderator:
Usipende kuweka masikhara sehemu ambapo haitakiwi,mi nipo seriously we unaleta mzaha..kwanini lakini unafanya hivo?

Nilitaka Nikutajie Dawa Nzuri Ukaitumie ILA Unaonekana Una NYODO Hivyo Nakuacha Hivyo Hivyo Utaabike. Mgonjwa Gani MKOROFI Wa KUTUKUKA Hivi?
 
Ilikutibu mpaka ujue chanzo ni nini..kwamfano mzunguko wa hedhi wa vijana wanaovunja ungo na watuwazima wanaelekea umri wa kutopata tena hedhi.hua unabadilika badilika sana.na kitaaram haishauliwi kwa watu hawa kutumia dawa yoyote.
 
Owk,nashukuru kwa ushauri wako.
 
kuna my friend anatokwa hedhi mfululizo zaidi ya wiki, kaambiwa ni hiyo hormonal imbalance, madhara yake ni nini ? tiba yake je? anaweza kupata ujauzito?
 
kuna my friend anatokwa hedhi mfululizo zaidi ya wiki, kaambiwa ni hiyo hormonal imbalance, madhara yake ni nini ? tiba yake je? anaweza kupata ujauzito?

Sidhani kama ni hormonal imbalance peke yake. Apime ultra sound labda ana uvimbe kwenye kizazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…