Agricola Gerald
Member
- Nov 25, 2015
- 93
- 6
Morning,
Je kuna dawa ya kurekebisha mzunguko wa hedhi ambao uko chini ya siku 28?
Je kuna dawa ya kurekebisha mzunguko wa hedhi ambao uko chini ya siku 28?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Morning,
Je kuna dawa ya kurekebisha mzunguko wa hedhi ambao uko chini ya siku 28?
Kuna Dawa Moja Hivi Inaitwa Anti-Clockwise Itafute au Muulizie nifah Atakupa Maelekezo Yake Zaidi Kwani Alikuwa Na Hilo Tatizo.
Hahahahahaaa GENTAMYCINE kwanini unanitafutia matatizo lakini?
Ujue nimekuta PM ya huyu dada nikashindwa hata cha kumjibu,kumbe wewe ndio umemuagiza.....
Mwaya Agricola Gerald usimsikilize huyu kaka yangu chizi namuelewa mwenyewe,sijui dawa yoyote.
Morning,
Je kuna dawa ya kurekebisha mzunguko wa hedhi ambao uko chini ya siku 28?
pole mimi nilirekebisha kwa kula kiazi kikuu na sasa niko fresh.
Hahahahahaaa GENTAMYCINE kwanini unanitafutia matatizo lakini?
Ujue nimekuta PM ya huyu dada nikashindwa hata cha kumjibu,kumbe wewe ndio umemuagiza.....
Mwaya Agricola Gerald usimsikilize huyu kaka yangu chizi namuelewa mwenyewe,sijui dawa yoyote.
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:.
pole mimi nilirekebisha kwa kula kiazi kikuu na sasa niko fresh.
Haya dear,me nlivoona post yake kaku mention nikajua u know about it ndo mana nika ku pm.
Usipende kuweka masikhara sehemu ambapo haitakiwi,mi nipo seriously we unaleta mzaha..kwanini lakini unafanya hivo?
Nilitaka Nikutajie Dawa Nzuri Ukaitumie ILA Unaonekana Una NYODO Hivyo Nakuacha Hivyo Hivyo Utaabike. Mgonjwa Gani MKOROFI Wa KUTUKUKA Hivi?
Ilikutibu mpaka ujue chanzo ni nini..kwamfano mzunguko wa hedhi wa vijana wanaovunja ungo na watuwazima wanaelekea umri wa kutopata tena hedhi.hua unabadilika badilika sana.na kitaaram haishauliwi kwa watu hawa kutumia dawa yoyote.
kuna my friend anatokwa hedhi mfululizo zaidi ya wiki, kaambiwa ni hiyo hormonal imbalance, madhara yake ni nini ? tiba yake je? anaweza kupata ujauzito?