Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi leo ni tarehe 07.12.2014! Nasubiri.Wakuu namshukuru Mungu nimekuwa nikifanya utafiti wa magonjwa ya kuku
ambayo yanadaiwa kutotibika. Mimi sio daktari wa mifugo na wala sina taaluma
hiyo, utafiti wangu umekuwa wa kienyeji mno baada ya kukosa ushirikiano
kutoka kwa maafisa wa mifugo ambao mara kadhaa walitaka fedha au kunikatisha
tamaa.
Leo nakuja kifua mbele baada ya mchanganyo wa dawa ambao nimeufanya kuonekana
kuleta matunda kwa ugonjwa hatari wa kuku nilioutaja hapo juu. Katika utafiti wangu Jumla
ya kuku 22 wamekufa kutokana na majaribio mbalimbali ya dawa niliyokuwa nayafanya.
Lakini huu mchanganyo wa sasa umefanikiwa kuokoa maisha ya kuku 56 kati ya kuku 58
niliowajaribia.
Nawaombeni tuvute subira kwani mwezi wa 12. 2014 nitathibitisha kuwa ni dawa rasmi
au vinginevyo baada ya kukamilisha mambo machache ambayo yamesalia.
Mwisho Namshukuru MUNGU kwani haukuwa ujanja wangu isipokuwa ni Mwongozo wake.
AMANI KWENU.
Kiongozi leo ni tarehe 07.12.2014! Nasubiri.
...du!!
GAZETI halisomeki
huo mchanganyo kiasi gan kwenye maji kiasi gani??Jaribuni hii haina utafiti wa muda mrefu but nimeletewa na Mzee mmoja na imenisaidia sana tangu nianze kuitumia hakuna kuku hata mmoja aliyekufa: Chukua Majani ya mwarobaini au Minyaa yaponde then chuja maji yake hakikisha maji uloyaweka yasiharibu ladha so nature ya mwarobain ni chungu na iwe hvyo,changanya na gongo (pombe) nusu Lita na mwisho weka unga wa ranging mbili wawekee wawe wanakunywa hata kama ni kila Siku! Kwangu inafanya poa jaribu nawe.
Ooh. Samahani mkuu pengine umejisikia vibaya kwa kutonielewa
kauli yako nimeielewa vema na wala haina tatizo nilichokusudia ni
kuwa nashindwa kuinadi mapema kutokana na aina ya watu niliowatja
kwani wengine wataanza kuponda na kusema Mfano. Kwanini
umekurupuka badala ya kumaliza utafiti kwanza na kwa kuku wa kisasa.
Nilikuelewa ndio maana nilikupa mfano wa watu wenye tabia hizo
na sio wewe.
Hapana mkuu.
mkuu umefikia wapi katika utafiti wako?
Nasubiria kwa hamu.....bado miezi kadhaa tu kufika desemba, 2014.
unga wa rangi mbili ndo upi huoooooUnga wa rangi mbili at least 4 pills kwa kiasi hicho cha vimiminika
Kwa sasa hivi unapatikanaje nikutafuteWakuu namshukuru Mungu nimekuwa nikifanya utafiti wa magonjwa ya kuku