Dawa ya kutibu ugonjwa wa kuku kideri/kitoga/sotoka/mdondo/chinoya (Newcastle desease)

ni december 2014 sasa...
Asante kwa kumkumbusha mtafiti wetu, yapata mwaka sasa na desemba 2014 ndo hii inazidi kukatika, ebwana GAZETI tunaomba ujenutupe mrejesho wa utafiti wa hii dawa ya ugonjwa ulitajwa hapo juu
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi leo ni tarehe 07.12.2014! Nasubiri.
 
Hata mimi nasubiri kwa hamu maana ndio msimu wa kideri huu
 
December ilishapita,leo ni May jamaa hajatoa mrejesho. Au na yeye alipata mgao wa Escrow akaona mambo ya research ni ujinga
 
Jaribuni hii haina utafiti wa muda mrefu but nimeletewa na Mzee mmoja na imenisaidia sana tangu nianze kuitumia hakuna kuku hata mmoja aliyekufa: Chukua Majani ya mwarobaini au Minyaa yaponde then chuja maji yake hakikisha maji uloyaweka yasiharibu ladha so nature ya mwarobain ni chungu na iwe hvyo,changanya na gongo (pombe) nusu Lita na mwisho weka unga wa ranging mbili wawekee wawe wanakunywa hata kama ni kila Siku! Kwangu inafanya poa jaribu nawe.
 
huo mchanganyo kiasi gan kwenye maji kiasi gani??

Hapana mkuu.

mkuu umefikia wapi katika utafiti wako?

Nasubiria kwa hamu.....bado miezi kadhaa tu kufika desemba, 2014.
 
Kwa sasa hivi unapatikanaje nikutafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…