Dawa ya kutoa chale

Dawa ya kutoa chale

nakuomba achana nazo maana utasababisha matatizo mengine zaidi maana hizi dawa unazoambiwa ni kama una haribu ngozi kwa kuondoa ile layer ya juu ambayo ni muhimu sana kwa afya kuliko hizo chale ulichonacho
 
Sisi ni waafrika na chale ni tamaduni zetu,ukiangalia sana ni watanzania wachache sana ambao hawana chale na hawa ni wale wa kizazi cha dot com ila sisi wa zamani chale izilikuwa hazikwepeki na mbaya zaidi wengine zilikuwa zinachanjwa sehemu ambazo huwezi kuficha.Nakumbuka siku moja ilibidi nipigwe chale ya ulimidu!Hapo uzalendo wa imani za kimila ulinishinda nikasema kama hakuna dawa nyingine zaidi ya kunilima hiyo chale basi sitaki.
Kuna mdau humu kashauri uende S H Amon pale maeneo ya Samora,inaweza kusaidia namna ya kuondoa matatizo uliyonayo,jaribu kote kote ila kwa Mwana mtoka pabaya ingekuwa mimi ningeogopa.

Mkuu... hata mie ni muhanga, sasa sijui niifuteje kwenye ulimi???!
 
Mkuu vumilia tu, maana chale zenyewe mbili tu unapiga kelele,wamakonde watasemaje na urembo wao hadi usoni?
 
Mbili lakini mmh ukivua tu cha kwanza mtu kuona ni Chale

we tatizo lako hujiamini,mwenyewe nina chale kibao mwilini na wala siogopi mtu,masister wa mjini nawagegeda kama kawaida,tena wengi wananiuliza hasa hivi visichana vyenye umri kuanzia miaka 24 kushuka chini,huwa navijibu hayakuhusu haya ni mambo ya kwetu,kinachofuata hapo ni dozi ya kufa mtu mana chale zingine zilikuwa za kuongeza nguvu,kesho yeye mwenye atarudi tena bure kabisa na kumwacha blazamen wake wa kizazi cha dot com asiye na chale,cha msingi usiwe mwanga
 
hahahahaahahah Chale man
 
Hahahahha weee ni nooooouuma
 
suruhisho la matatizo yenu imepatikana! tunayo skin defence creme inayotibu na kumaliza hilo tatizo! kwa kutumia hii creme utaweza kurudisha confidence yako kwa kuwa mrembo na mtanashati wasiliana nasi whatsapp 0764014285
 
Back
Top Bottom