Dawa ya kutoa chale

nakuomba achana nazo maana utasababisha matatizo mengine zaidi maana hizi dawa unazoambiwa ni kama una haribu ngozi kwa kuondoa ile layer ya juu ambayo ni muhimu sana kwa afya kuliko hizo chale ulichonacho
 

Mkuu... hata mie ni muhanga, sasa sijui niifuteje kwenye ulimi???!
 
Mkuu... hata mie ni muhanga, sasa sijui niifuteje kwenye ulimi???!
Pole sana ndugu yangu,ulikubalije kupigwa chale ya ulimi?Yafaa uonane na Mwana Mtoka Pabaya kwa tatizo ulilonalo
 
Mkuu vumilia tu, maana chale zenyewe mbili tu unapiga kelele,wamakonde watasemaje na urembo wao hadi usoni?
 
Mkuu vumilia tu, maana chale zenyewe mbili tu unapiga kelele,wamakonde watasemaje na urembo wao hadi usoni?

Mbili lakini mmh ukivua tu cha kwanza mtu kuona ni Chale
 
Mbili lakini mmh ukivua tu cha kwanza mtu kuona ni Chale

we tatizo lako hujiamini,mwenyewe nina chale kibao mwilini na wala siogopi mtu,masister wa mjini nawagegeda kama kawaida,tena wengi wananiuliza hasa hivi visichana vyenye umri kuanzia miaka 24 kushuka chini,huwa navijibu hayakuhusu haya ni mambo ya kwetu,kinachofuata hapo ni dozi ya kufa mtu mana chale zingine zilikuwa za kuongeza nguvu,kesho yeye mwenye atarudi tena bure kabisa na kumwacha blazamen wake wa kizazi cha dot com asiye na chale,cha msingi usiwe mwanga
 

hahahahaahahah Chale man
 
Hahahahha weee ni nooooouuma
 
suruhisho la matatizo yenu imepatikana! tunayo skin defence creme inayotibu na kumaliza hilo tatizo! kwa kutumia hii creme utaweza kurudisha confidence yako kwa kuwa mrembo na mtanashati wasiliana nasi whatsapp 0764014285
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…