MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,065
Ukipaka vaa soksi lain....
Nasikia hata mafuta ya vaseline yanasaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipaka vaa soksi lain....
Sante sana... Ngoja nitaanza zoezi hili soon.. Maana inanikera sanaUkipaka vaa soksi lain....
Nasikia hata mafuta ya vaseline yanasaidia
Mguu mzuri [emoji14]
Ushautamani hapoMguu mzuri [emoji14]
Ndiyo ugonjwa wangu huo,Ushautamani hapo
Mwambie akutumie nyingi inboxNdiyo ugonjwa wangu huo,
Napenda sana kutazama vidole vya miguu vya wadada
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mguu mzuri [emoji14]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwambie akutumie nyingi inbox
Mkuu piga picha adi kwenye goti basi
Oyoooooooo... Safi sana ingekuwa maada zote zinasindikizwa Na picha km hivi mambo yangekua safi
Ntaleta mrejesho na hivi nipo likizo nahisi itanitoa kwa haraka maana sitovaa viatu vya kutumbukiza mwezi mzima
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kata hizo sugu na kiwembe...