Mkuu ukishasafisha kwa panadol ikitikata ndo unapitisha kitambaa laini unaifuta vizuri.. tena inanga'aa vizuri sana. unaweza ukawet hata kitambaa ukairinse ikawa vizuri sana.Panadol inaondoa uchafu ila ukipasi nguo nyeupe yale mabaki ya panadol yanaibadili hiyo shati rangi.
Solution ya uhakika ya kutoa uchafu kwa pasi ni Steel wool au stili waya ya kuoshea vyombo.. iweke pasi kwa umeme ikipata joto sugua nastili waya. mission accomplish.
Sio kweliPanadol inaondoa uchafu ila ukipasi nguo nyeupe yale mabaki ya panadol yanaibadili hiyo shati rangi.
Solution ya uhakika ya kutoa uchafu kwa pasi ni Steel wool au stili waya ya kuoshea vyombo.. iweke pasi kwa umeme ikipata joto sugua nastili waya. mission accomplish.
Sio kweli
mabaki ya panadol si uyafute kwa nini unayaacha?.
Sote tunatumia panadolNimeeleza njia nnayotumia mimi dada.
Sote tunatumia panadol
iweje kwako upate madoa sie tusipate?