Dawa ya kutoa uchafu kwenye pasi

Nashukuru kwa michango yenu wadau sasa naomba kuuliza io panado naishikaje na wakat pas ni ya moto nisije nikateleza nikaweka vidole nikapata kovu la pas saiz
 
Nashukuru kwa michango yenu wadau sasa naomba kuuliza io panado naishikaje na wakat pas ni ya moto nisije nikateleza nikaweka vidole nikapata kovu la pas saiz
Ingia YouTube jifunze kwa vitendo...
 
Mkuu tumia chaki hutojuta, washa ikishika moto vizuri sugua kwa chaki
 
Maybe lets agree to disagree

Mana nasafisha na panadol na hakibaki kitu.
 
Tupa hiyo pasi. Nenda kanunue pasi mpya pale Mcity 120,000 tu unapata steam. Achana kutumia panadol sijui diclofenac n.k
 
Tumia chumvi, hii ya kuweka kwenye mboga. Zamani nilikuwa nahangaika sana kutumia panadol.
Pasha pasi mpaka iwe moto kisha weka chumvi, kisha sugua kwa karatasi yoyote
Nashukuru kwa michango yenu wadau sasa naomba kuuliza io panado naishikaje na wakat pas ni ya moto nisije nikateleza nikaweka vidole nikapata kovu la pas saiz
 
Tumia chumvi, hii ya kuweka kwenye mboga. Zamani nilikuwa nahangaika sana kutumia panadol.
Pasha pasi mpaka iwe moto kisha weka chumvi, kisha sugua kwa karatasi yoyote
Kweli? Nitajaribu, je chumvi ya unga au ya mawe?
 
Tumia choki, usugue uchafu huo kwa choki ukiwa tayari umeyeyuka kutokana na joto
 
Tumia chaki, pas ikipata moto sugua kwa chaki
 
Mnaangaika sana na yote hayo aisee... Mimi uwa nachukua plain paper naiviringa kisha huku nikiwa nimeongeza moto wa pasi to the maximum, ninasugua tu. Fasta tu uchafu wote kushney
 
Nashindwa kuelewa mtu unachafuaje pasi, kwanini usitumie moto wa wastani?
 
Tumia paracetamol mashin ya kaz io isipotoa huo uchafu njoo nikurudshie ila yak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…