Dawa ya kutokwa na jasho kwapani

Dawa ya kutokwa na jasho kwapani

zunya

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
1,529
Reaction score
1,068
Jamani wanajamvi ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo nimekua nakosa raha kwa kutokwa jasho kwapani hata kama nimetoka kuoga kuna jamaa wakanambia eti kunyoa kwapa kutafanya tatizo liishe.

Lakini wapi Kwapa linakua jeupe lakini mambo ni yale yale nimekua sipendi kuvaa baadhi ya nguo nazozipenda kisa zikilowa zinaonesha sana ramani na kunikosesha raha wakuu kwa mwenye kujua tatizo na dawa msaada.
 
Nunua deodorant utumini nivea invisible
Asante sana mkuu..
Kiukweli nashindwa elewa,ii mambo nmetumia,lakini cha kushangaza tatizo linaendelea,japo huwa na unafuu kidogo kwani huwa inatoa harufu nzuri.
ila wanasema deodorant zinaleta canser tena niko njia panda
 
Jisugue kwa ndimu/limao kila umalizapo kuoga at least a week!!!!!!
To be honest,
Sijatumia njia hii,ntaijaribu kila nkienda bafuni,ntakupa matokeo.
 
Tafuta dawa anti persipirant inaitwa Driclor itakusaidia na kumaliza tatizo,mimi nimeitumia imenisaidia sana tena sana
 
Back
Top Bottom