Jamani wanajamvi ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo nimekua nakosa raha kwa kutokwa jasho kwapani hata kama nimetoka kuoga kuna jamaa wakanambia eti kunyoa kwapa kutafanya tatizo liishe.
Lakini wapi Kwapa linakua jeupe lakini mambo ni yale yale nimekua sipendi kuvaa baadhi ya nguo nazozipenda kisa zikilowa zinaonesha sana ramani na kunikosesha raha wakuu kwa mwenye kujua tatizo na dawa msaada.
Asante sana mkuu..
Kiukweli nashindwa elewa,ii mambo nmetumia,lakini cha kushangaza tatizo linaendelea,japo huwa na unafuu kidogo kwani huwa inatoa harufu nzuri.
ila wanasema deodorant zinaleta canser tena niko njia panda