Dawa ya kuua mbu

Dawa ya kuua mbu

najua

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
224
Reaction score
54
Dah jamani mwenye kujua hiyo dawa ya kupulizia na kuua mbu anisaidie maana hapa home ikifika jioni ni balaa tupu, nahitaji zile za kupulizia nje ya nyumba na ndani kwenye eneo kubwa mtambo ule wa kupulizia ninao sema dawa tu ndio sijui.

Maana mbu wa nyumba hii ukiamka hadi kwenye vyandarua vya kikwete unakuta wamepiga pozi afu hawafi.

Msaada jamani
 
Nenda pale TFA chang'ombe watakupatia, huwa nanunua pale ila jina sikumbuki kwa kweli,
 
dah jamani mwenye kujua hiyo dawa ya kupulizia na kuua mbu anisaidie maana hapa home ikifika jioni ni balaa tupu, nahitaji zile za kupulizia nje ya nyumba na ndani kwenye eneo kubwa mtambo ule wa kupulizia ninao sema dawa tu ndio sijui. maana mbu wa nyumba hii ukiamka hadi kwenye vyandarua vya kikwete unakuta wamepiga pozi afu hawafi. msaada jamani

Mkuu sijui ulipata dawa maana kwangu hawa washenzi sasa wanatesa sana ukiamka asubuhi unakuta wanacheza break dance kama ulipata jamani nijuze nami nina hasira nao na mtambo ninao pia
 
Dah jamani mwenye kujua hiyo dawa ya kupulizia na kuua mbu anisaidie maana hapa home ikifika jioni ni balaa tupu, nahitaji zile za kupulizia nje ya nyumba na ndani kwenye eneo kubwa mtambo ule wa kupulizia ninao sema dawa tu ndio sijui.

Maana mbu wa nyumba hii ukiamka hadi kwenye vyandarua vya kikwete unakuta wamepiga pozi afu hawafi.

Msaada jamani
Hahahaha wamepiga pozi
 
Kuna dawa moja ipo kwenye kipakti cha rangi ya silver yenyewe ni ya blue kama ufutio bapa. Unaichoma wanakufwa mbu wote chumbani kwako. Nenda kwa mangi wanauza Tsh 200 kwa kila kipakti kimoja
 
Nitafute Kwa namba 0679373751 nitakuja Kwa ajiri ya fumigation nje na ndani nyumba nzima.
 
Back
Top Bottom