Dawa ya kuua mimea kabisa udongoni kabla ya kuweka pavements

Dawa ya kuua mimea kabisa udongoni kabla ya kuweka pavements

MAKALA

Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
47
Reaction score
12
Hi guys. ni muda sasa nimekua nikitafuta dawa ya kumwaga arthini kabla ya kuweka pavements kwenye car parking areas, lakini sijafanikiwa. nilienda kariakoo nikapewa feki . twiga chemicals wanasema hawana. TFDA wanasema hawana hebu anayejua anisaidie niweze kwenda nunua .
 
ok. hiyo basophite naweza ipata api kwa hapa dar?
 
Back
Top Bottom