Mama Nehemiah
JF-Expert Member
- Sep 9, 2018
- 244
- 439
AsanteNenda Duka la pembejeo ulizia kiuagugu chenye kiambata Aina ya paraquat au glyphosate. Hizo zote ni broad spectrum herbicide zinaua majani ya Aina yote mapana kwa membamba.
GramoxoneMsaada mwenye kufahamu dawa ya kuua nyasi zinazoota ardhini.
Nahitaji mtu aliyekwisha tumia hiyo dawa na nyasi hazikuota tena.
Mix vinegar na sabuni ya maji kisha mwagia ama nyunyiza zitakufa zote na hazitakaa ziote tenaMsaada mwenye kufahamu dawa ya kuua nyasi zinazoota ardhini.