rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
nipo dsmKwa heshima yako tafuta huko huko uliko,, sina msàada hapo.
Sawa, Niko mbali tafuta huko huko mdogo wangu utapata.nipo dsm
Kanuni ni mbili tu au nyingine moja ya 3Asante mkuu, hii nikikuwa naitafuta!
Na bado ana tarehe zake za kurudi kwa mganga kwenda eti kuongeza dozi. Ndyo chain ya utumwa hiyo.I conquer with you! Ni kweli mama ntilie wengi utasikia wanatumia dawa, but miaka nenda rudi utamkuta palepale kwenye kakibanda chake with less capital growth or expansion...au ndo masharti yenyewe 😁😎
sio kijana bali mdada tena mzuriSawa hili nimeliona nafikiria niajiri kijana wa kuwa anapeleka delivery na kuomba oda za chips specifically.
Hii sio bar mkuu sija-target wateja wa kiume pekee, hizo attributes zinaweza kunifanya nikose wateja wa kike maana watamuona kama threat....na hii biashara wateja wake wengi ni wa kike!Weka mhudumu mwenye tako na uzuri wa sura na anayefahamu kuchangamsha wateja.
Hii sio bar mkuu sija-target wateja wa kiume pekee, hizo attributes zinaweza kunifanya nikose wateja wa kike maana watamuona kama threat....na hii biashara wateja wake wengi ni wa kikeWeka mhudumu mwenye tako na uzuri wa sura na anayefahamu kuchangamsha wateja.
Sawa kaka, hili nalo nenoKama yote hayo umefanikiwa kuyafanya basi dawa kubwa ambayo umebakiza hapo ni nyama ya ulimi...🤗
Kaka biashara ya chakula ni ya wateja wa jinsia zote, na kwa upande wa chips wanakula wote japo watoto wa kike ndo hula zaidi, kisaikolojia mwanamke akimzidi mwenzake uzuri yule mwingine huwa anam-treat kama threat, kwa lugha nyingine wanaweza kumkwepa especially wakiwa na mabwana wao hivyo nikakosa wateja bure.....so nafikiri hapo ni stick tu kwenye kijana mtanashati mwenye kauli nzuri na kuvutia wateja..... I stand to be correctedsio kijana bali mdada tena mzuri
Mbona ikifikia hatua ya utekelezaji wa ushauri wenu mnakataa kutoa ushirikiano?😅Sawa, Niko mbali tafuta huko huko mdogo wangu utapata.
Usisubiri wateja waje wafuate maofisini na madukani kwao, mida ikikaribia tuma mtu akachukue order au chukua namba zao za simu pigia kila mmoja, hii inaweza kudouble biashara muda mfupiHabari wakuu. Nimekuja leo nikiwa na maswali mawili kuhusu biashara yangu mpya ya restaurant/mkahawa.
Swali la kwanza linahusu biashara yenyewe. Nimefungua restaurant wiki mbili zilizopita baada ya kuwahi kufanya biashara kama hii miaka kadhaa nyuma lakini sikufanikiwa sana. Safari hii nimerudi nikiwa na mtaji mkubwa, plan nzuri, usafi, na nidhamu ya biashara. Eneo nililopo lipo barabarani na kuna movement ya watu hasa asubuhi, mchana na usiku lakini bado faida na mauzo sio mazuri kama nilivyotarajia. Kwa sasa naisimamia mwenyewe muda wote kabla ya kuja kuweka meneja na pia nina mpango wa kufunga CCTV jikoni na maeneo ya mbele ili kudhibiti wizi, matumizi mabaya ya bidhaa, na kuongeza usimamizi wa kazi. Changamoto kubwa ninayoiona ni upande wa chipsi. Naomba msaada kwa wenye uzoefu, kilo 1 ya viazi inatakiwa kutoa sahani ngapi za chips kwa portion ya kawaida ya mjini? Nahisi huenda portion zangu ni kubwa sana ndio maana faida inakuwa ndogo. Ushauri wowote wa kuongeza faida na kuimarisha restaurant unakaribishwa.
Swali la pili linahusu kuvuta wateja. Naomba kujua ni vitu gani hasa vinafanya restaurant mpya kuvuta na kuhifadhi wateja wengi. Ukiachana na location, huduma, usafi, bei, matangazo, ubora wa chakula, maombi ya kuombea biashara, kwa maana haya yote nayafanya kwa asilimia 90-95%, au kuna mambo mengine muhimu zaidi? Pia kama kuna watu wanaoamini katika “dawa ya biashara” kuvuta wateja, naomba mnishauri kwa hekima na uzoefu wenu. Niko tayari kujifunza na kuboresha biashara yangu.
Hatutaki lawama ndogo ndogoMbona ikifikia hatua ya utekelezaji wa ushauri wenu mnakataa kutoa ushirikiano?😅