Dawa ya Kuvuta Wateja kwenye Biashara Mpya

Humu hakuna anayefanya/aliyefanya biashara kama hiyo ya mleta mada?
 
Nakusogeza kwenye mlango wa mkubwa wa ubaya mwenyewe,king Satan,angalia gereza kubwa maarufu,pale mlangoni,pachua kipande cha mbao ya mlango,kiweke kwenye lango lako la biashara,kingine weka kwenye droo,kwisha kazi,ulete ushuhuda hapa.🔥🔥🔥
-Ispofanyika kazi,tibu eneo lako.
 
ima yako itakuponya mkuu.

Lakufanya jifunze unversal laws.

sheria za ulimwengu ndo zinadeal na mambo hayo.

ila na dawa zipo unga vyote dawa na hizo sheria.
 
Njoo na fuvu la nyani aliy3kufa 9 Decemba 1961 na shillingi hiziii 5m. Nikufanyie kazi uone kazi.
 
Angalia namna ya kufanya delivery kwa wasioweza kufika mgahawani itasaidia kuongeza mauzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…