Miss trinity
Member
- Feb 18, 2014
- 95
- 24
Hii.! Wadau samahni kama kuna yeyote anajua dawa inayomsaidia mama mjamzito mwenye dalili za uchungu kuweza kujifungua haraka naomba aniambie.
Please!
Please!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kawaida dawa hizi zipo hospitalini ni za vidonge ila inabidi kufuata ushauri wa daktari,all in all asali mbichi pia huwa inasaidia,ukilamba mara kwa mara na mwisho fanya mazoezi ya kutembea.
Dawa hizo zinapatikana hospitali anakojifungulia mhusika.
La sivyo tafuta dawa zenye OXYTOCIN kwa wingi.
Mboga ya majani ya mgagani Kizungu (Spider plant-cleome gynandra) inasemekana kusaidia sana wanawake wakati wa kujifungua na pia ina sifa ya kuongeza damu. Hutumika kabla ya kujufungua (ili kujufungua kirahisi na salama bila taabu) na baada ya kijifungua ( kuponya majeraha yanayotokana na kujifungua)
zipo hospitali waombe madokta watakupa.
Mboga ya majani ya mgagani Kizungu (Spider plant-cleome gynandra) inasemekana kusaidia sana wanawake wakati wa kujifungua na pia ina sifa ya kuongeza damu. Hutumika kabla ya kujufungua (ili kujufungua kirahisi na salama bila taabu) na baada ya kijifungua ( kuponya majeraha yanayotokana na kujifungua)
Kwa kuponya majeraha unakula hvyhvy au unapak???
Nilishawah kutumia majani flan ambayo cyajui jina kwa kweli shangaz yangu alinipa kipnd uchungu umeanza kabla cjapelekwa hosptal alinichemshia nikanywa loo! ni machungu jaman na nilipofika tu hosptal nilijfungua mapema wala ckukaaa sana nikarud nyumban muda mfupi cjui kama ndio hayo unayoyaongelea ndugu
Mizizi ya mpapai dume unatafuna inasaidia kujifungua mapema
Nilishawah kutumia majani flan ambayo cyajui jina kwa kweli shangaz yangu alinipa kipnd uchungu umeanza kabla cjapelekwa hosptal alinichemshia nikanywa loo! ni machungu jaman na nilipofika tu hosptal nilijfungua mapema wala ckukaaa sana nikarud nyumban muda mfupi cjui kama ndio hayo unayoyaongelea ndugu
Ungeyakumbuka ungesaidia wengi MankaM
What????? Miss trinity usije ukatumia dawa hii haikusaidii ujifungue haraka na inaweza kusababisha madhara kwa huyo kichanga "RESPIRATION DEPRESSION"-mtoto kushindwa kupumua kawaida!Dawa hizo zinapatikana hospitali anakojifungulia mhusika.
La sivyo tafuta dawa zenye OXYTOCIN kwa wingi.
mimi49 OXYTOCIN is not OXYCONTIN, nlikuwa nazungumzia hormone mdada na nnadhani hii ndio iko responsible na labor.What????? Miss trinity usije ukatumia dawa hii haikusaidii ujifungue haraka na inaweza kusababisha madhara kwa huyo kichanga "RESPIRATION DEPRESSION"-mtoto kushindwa kupumua kawaida!Hivi DZUDZUKU unajua hata oxycontin ni dawa gani na inafanya kazi gani?
Ahaaa hapo tumeelewana...sorry for misunderstanding!!mimi49 OXYTOCIN is not OXYCONTIN, nlikuwa nazungumzia hormone mdada na nnadhani hii ndio iko responsible na labor.