Dawa ya kuwahi kujifungua

Dawa ya kuwahi kujifungua

Miss trinity

Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
95
Reaction score
24
Hii.! Wadau samahni kama kuna yeyote anajua dawa inayomsaidia mama mjamzito mwenye dalili za uchungu kuweza kujifungua haraka naomba aniambie.

Please!
 
Dawa hizo zinapatikana hospitali anakojifungulia mhusika.

La sivyo tafuta dawa zenye OXYTOCIN kwa wingi.
 
Kwa kawaida dawa hizi zipo hospitalini ni za vidonge ila inabidi kufuata ushauri wa daktari,all in all asali mbichi pia huwa inasaidia,ukilamba mara kwa mara na mwisho fanya mazoezi ya kutembea.
 
Asante sana wanguuu ntafanya hvyo.!
 
Mboga ya majani ya mgagani Kizungu (Spider plant-cleome gynandra) inasemekana kusaidia sana wanawake wakati wa kujifungua na pia ina sifa ya kuongeza damu. Hutumika kabla ya kujufungua (ili kujufungua kirahisi na salama bila taabu) na baada ya kijifungua ( kuponya majeraha yanayotokana na kujifungua)
 
Kwa kuponya majeraha unakula hvyhvy au unapak???
 
Mboga ya majani ya mgagani Kizungu (Spider plant-cleome gynandra) inasemekana kusaidia sana wanawake wakati wa kujifungua na pia ina sifa ya kuongeza damu. Hutumika kabla ya kujufungua (ili kujufungua kirahisi na salama bila taabu) na baada ya kijifungua ( kuponya majeraha yanayotokana na kujifungua)

Nilishawah kutumia majani flan ambayo cyajui jina kwa kweli shangaz yangu alinipa kipnd uchungu umeanza kabla cjapelekwa hosptal alinichemshia nikanywa loo! ni machungu jaman na nilipofika tu hosptal nilijfungua mapema wala ckukaaa sana nikarud nyumban muda mfupi cjui kama ndio hayo unayoyaongelea ndugu
 
Mizizi ya mpapai dume unatafuna inasaidia kujifungua mapema
 
Nilishawah kutumia majani flan ambayo cyajui jina kwa kweli shangaz yangu alinipa kipnd uchungu umeanza kabla cjapelekwa hosptal alinichemshia nikanywa loo! ni machungu jaman na nilipofika tu hosptal nilijfungua mapema wala ckukaaa sana nikarud nyumban muda mfupi cjui kama ndio hayo unayoyaongelea ndugu

Jamani ungeyakumbukaaaa!!
 
Ungeyakumbuka ungesaidia wengi MankaM
 
Dawa hizo zinapatikana hospitali anakojifungulia mhusika.

La sivyo tafuta dawa zenye OXYTOCIN kwa wingi.
What????? Miss trinity usije ukatumia dawa hii haikusaidii ujifungue haraka na inaweza kusababisha madhara kwa huyo kichanga "RESPIRATION DEPRESSION"-mtoto kushindwa kupumua kawaida!
Hivi DZUDZUKU unajua hata oxycontin ni dawa gani na inafanya kazi gani?
 
Last edited by a moderator:
What????? Miss trinity usije ukatumia dawa hii haikusaidii ujifungue haraka na inaweza kusababisha madhara kwa huyo kichanga "RESPIRATION DEPRESSION"-mtoto kushindwa kupumua kawaida!Hivi DZUDZUKU unajua hata oxycontin ni dawa gani na inafanya kazi gani?
mimi49 OXYTOCIN is not OXYCONTIN, nlikuwa nazungumzia hormone mdada na nnadhani hii ndio iko responsible na labor.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom