Dawa ya kuzuia hisia za mapenzi

Dawa ya kuzuia hisia za mapenzi

Dawa salama ambayo haina madhara ni kutafuta kitu cha kukupa stress all the time,utopata ham wala kusmamosha dushe lako,ukisema dawa itakuathir had afya yako

Labda utafute wataraam wakubadil jinsia ,uwe mwanamke maana mwanmke ndyo hisia zke zko chin kidg had ashikwe shikwe ,na wew autoshikw kwa kuw muonekeno utakuw wa kiume lkn genotypically girl

Kama kwel utak kufnya mapenz tena kwa mda uliobak,maana si ata kuoa utooa,BADIL JINSIA UWE KE
 
Kakate mirija ya uzazi yote na mishipa ya hisia itolewe kabisa
 
Pole sana ikiwa wewe ni binadamu ukiyekamilika hakuna jinsi.

Pia nikwambie tu hata nje ya mapenzi hivyo ulivyoviainisha hapo baadhi vinapatikana hivyo hakuna cha nafuu kama kuna vya kukwepa ni vichache mno.
 
Mkuu chama 2 chawa,
Kabla ya kuamua kufanya hayo yote ni lazima moyo wako ukubali kufanya hayo maamuzi uliyoamua,

Ngoja nikupe mfano kuhusu mimi,

Katika maisha yangu nimejikuta nimefanya kila kitu kulingana na mazingira yangu hivyo sijaona kigeni bado, hata wanawake nimetembea nao mpaka nikachoka nikafanya kila aina ya starehe na uchafu lakini mwaka huu mwezi wa 8 nikasema sitaki kujihusisha na mapenzi ya aina yoyote hao wanawake kwa sasa nikikaa nao napiga nao stori na kushirikiana mambo ya kijamii, kiuchumi n.k

Sina hata chembe za hisia juu yao hata kama wakiwa hawana nguo mwilini mwao bado nawaona wa kawaida ni kweli ukiwatizama ni wazuri wamejaliwa si rahisi kwa mwanaume rijali kukaa nao bila kuwatongoza wala kuwatamani kwa jinsi walivyo umbika,
Unajua ni kwanini ni kwasababu nilisha " set " akili yangu kuwa sihitaji hisia yoyote na mwanamke hata awe mzuri vipi lakini si kwa milele ila kwa muda mfupi tu yaweza kuwa miaka 5 au 10, hii itakusaidia katika kipindi hicho kufanya mambo yako ya muhimu na ukiwa " serious " utajikuta umepiga hatua ndefu sana katika maisha yako "either" kiuchumi, kielimu, na kadhalika...

Huo muda wa kuzuia hisia ndiyo muda mzuri wa kufanya mambo ya maana na kwa akili zaidi,

Punguza kufanya matumizi makubwa, unywaji wa pombe , uvutaji wa sigara, na mambo yasiyo na msingi kiafya na kimaendeleo baada ya miaka 5 au 10 unaangalia je nimefanya hayo yote kwa kujinyima na sasa ni hatua gani niliyofikia ya mafanikio ukiona upo vizuri basi ni wazi ya kwamba unarudisha hisia zako na kufanya mambo yako kama kawaida ila kwa uangalifu na unakini mkubwa kusudi usije kupotea tena.
Hivi ndivyo nilivyo panga kufanya, kamwe huwezi kutoa hisia milele ila kwa kitambo tu.........
 
Duh mi nawaza nipate wapi dawa ya kunifanya nisipende tena mwanaume, am tired kwakweli
 
Well ,,maisha nikuchagua na kupanga .
Kama umechagua ivo basi pangilia maisha yako yaweze kufaa mahitaji yako.

Jiepushe namazingira/watu wanaoweza kukushawishi.
Jiepushe na unywaji pombe .
Kula nahakikisha unafanya mazoezi (/ukila alafu ukakaa kimya bila mazoezi mafuta yanakua mengi ).
Alafu km unasoma Basi kua bize nashule yako nakama unafanya kazi.zako basi hakikisha unazifanya sana ,,ili unaporudi om uwe umechoka usipate muda Wa kufikiria sex.

Nyege haziuwi ..nyege hazikupunguzii kitu ,,nawala hamna faida ya kugegedana ikiwa unahisi hujatimiza malengo yako naukiwa unahisi endapo ukigegeda mambo yataenda mlama.

Nyege nihatar kama utaziendekeza .

All in all ,Mwombe Muumbaji Wa Mbigu akupe ujasiri Wa kulishinda ilo.

asante sana kwa mawazo ila nahitaji kufuta kabisa kitu kufanya mapenzi kwenye maisha yangu......unajua mbinu ilizonipa ni nzuri sana,unaweza ukachoka kwa kazi na kadhalika inshu inakuja asubuhi ukisha amka unamanguvu tele hapo nirahisi kutafuta wa kudo au hata kupulika......dah I hate this thn from my heart.
 
Ipo siku utajuta. Utatamani hizo hisia zikurudie lakini wapi. Pole sana mkuu! It seems there is something behind

kweli mkuu kuna mengi behind tht why nataka ni nijiweke kando ya hii barabara.....inshort najipenda sana na mapenzi naona yanaweza kuwa adui wangu no.1
 
Hamjambo wanajukwaa,

Kama tittle inavyojieleza,

Natafuta dawa ya kuzuia hisia za mapenzi yaani sitaki kushiriki tendo la ndoa katika maisha yangu yaliyobaki.

Je, kuna dawa yoyote naweza kutumia kufanikisha hazma hii? Lengo la kufanya hivi nikutokana na maoni yangu kuhusu mapenzi naamini kufanya mapenzi ni chanzo cha umasikini, majuto, mateso, udhalilishaji, utoaji wa mimba, magonjwa, uchafu, migogoro, stress n.k.

Naamini kwa kufanya hivi sitamuathiri mtu kwani sijaoa kama unaijua hiyo dawa nisaidie tafadhali.
Jiunge CHAPUTA hutojuta
 
Mkuu chama 2 chawa,
Kabla ya kuamua kufanya hayo yote ni lazima moyo wako ukubali kufanya hayo maamuzi uliyoamua,

Ngoja nikupe mfano kuhusu mimi,

Katika maisha yangu nimejikuta nimefanya kila kitu kulingana na mazingira yangu hivyo sijaona kigeni bado, hata wanawake nimetembea nao mpaka nikachoka nikafanya kila aina ya starehe na uchafu lakini mwaka huu mwezi wa 8 nikasema sitaki kujihusisha na mapenzi ya aina yoyote hao wanawake kwa sasa nikikaa nao napiga nao stori na kushirikiana mambo ya kijamii, kiuchumi n.k

Sina hata chembe za hisia juu yao hata kama wakiwa hawana nguo mwilini mwao bado nawaona wa kawaida ni kweli ukiwatizama ni wazuri wamejaliwa si rahisi kwa mwanaume rijali kukaa nao bila kuwatongoza wala kuwatamani kwa jinsi walivyo umbika,
Unajua ni kwanini ni kwasababu nilisha " set " akili yangu kuwa sihitaji hisia yoyote na mwanamke hata awe mzuri vipi lakini si kwa milele ila kwa muda mfupi tu yaweza kuwa miaka 5 au 10, hii itakusaidia katika kipindi hicho kufanya mambo yako ya muhimu na ukiwa " serious " utajikuta umepiga hatua ndefu sana katika maisha yako "either" kiuchumi, kielimu, na kadhalika...

Huo muda wa kuzuia hisia ndiyo muda mzuri wa kufanya mambo ya maana na kwa akili zaidi,

Punguza kufanya matumizi makubwa, unywaji wa pombe , uvutaji wa sigara, na mambo yasiyo na msingi kiafya na kimaendeleo baada ya miaka 5 au 10 unaangalia je nimefanya hayo yote kwa kujinyima na sasa ni hatua gani niliyofikia ya mafanikio ukiona upo vizuri basi ni wazi ya kwamba unarudisha hisia zako na kufanya mambo yako kama kawaida ila kwa uangalifu na unakini mkubwa kusudi usije kupotea tena.
Hivi ndivyo nilivyo panga kufanya, kamwe huwezi kutoa hisia milele ila kwa kitambo tu.........

umeongea vizuri mkuu nimejaribu sana mkuu kuepuka ngono ila imekuwa ngumu hadi nimekata tamaa mkuu...asante sana mkuu umenipa moyo kiasi kikubwa sana
 
Unahc unaweza kuacha kunya maisha yako yote yaliyobakia hapa dunian? Kama jibu ni ndio basi jambo lako ni jepesi mno.

Well, just kidding. Kisaikolojia hisia kwa binadam huamshwa na hormone ambazo kwa kiasi kikubw huna nguvu za kuzitawala. Kwa mwanaume aliye kamili kutaman kusex hasa pale mazngr yanapokuwa perfect ni ktu cha kawaida ila sasa ni uamuzi wa mhusika kuchukua hatua.

According to psychoanalysis theory, sex ina nafasi kubwa sana ktk mwili wa binadamu, unaweza kujicontrol kwa kipind fulani kwa kujikeep busy na kuepuka mazngr flan flan lkn sio forever, kwan maji yakizidi unga utapandwa na kichaa... Unless uondoe hyo dhakari japo nayo sio suluhu.
Best wishes
 
Back
Top Bottom