saratoga1285
Member
- Dec 15, 2016
- 29
- 18
Na azingatie sana kiumbe aliyepo tumboni, kila dawa atakayopewa a google kujua side effect ya kababy! Tumpe hongera nyingi sana na Mola awalinde mama na mtoto!poleni. ndiyo ginger tea/ chai ya tangawizi husaidia wengi katika hicho kipindi.. ila kama anatapika kila kitu na sana basi ni vyema apewe dawa za mishipa kwanza kupunguza rate ya kutapika.. eg Ondasetron 8mg iv halafu vidonge vyake baadaye ama vidonge vya Nosic.. kikukbwa ni kuhakikisha maji na madini anayopoteza akitapika yanakuwa replaced mwilini la sivyo atanyong'onyea na kuzidiwa zaidi
Yataje madhara ya Nosic tuyajueUsiogope hiyo hali itaisha tu, epuka dawa dawa za hospitali zitamharibu mtoto aliye tumboni hata vile vidonge vya Nosic vinazuia kutapika lakini vina madhara sana bora asitumie hiyo itaisha yenyewe mwili ukizoea, ale tu juices za malimao, ukwaju nk na usiweke sukari.
Hata mimi nasubiri anitajie hayo madhara maana mimba zangu zote mimi Nosc ndio msaada wanguYataje madhara ya Nosic tuyajue
Mimi hutumia Nosc kuanzia miezi mi 3 ya mimba mpaka kujifungua maana huwa natapika kila nilacho mpaka naishiwaga nguvu hebu nitonye hayo madharaUsiogope hiyo hali itaisha tu, epuka dawa dawa za hospitali zitamharibu mtoto aliye tumboni hata vile vidonge vya Nosic vinazuia kutapika lakini vina madhara sana bora asitumie hiyo itaisha yenyewe mwili ukizoea, ale tu juices za malimao, ukwaju nk na usiweke sukari.
Apate glucose pamoja na ORS ya kutosha,upungufu Wa sukari na madini mwilini huwa ndo chanzo cha tatizo,pia dawa ya "vomidoxin " ni nzuri tu,ina mchanganyiko Wa vitamin B6 pamoja na Meclizine.Dawa naomba ufanye kuwa chaguo la mwisho kabisa,cha msingi ni hizo Ors na Glucose.Msaada mke wangu ni mjamziyo wa miezi miwili,anatapika sana npo nae hospitali toka juzi,anatapika sana chochote atakachokipitisha mdomoni lazima kirudi. Kuna MTU kaniambia nimchemshie tangawizi ya moto anywe itamsaidia kupunguza kutapika.
Nosic inakuwa na vitamin b6 pamoja na dawa nyingine ya kuzuia mzio"antihistamine/anti allergy "doxylamine.That's all.Mimi hutumia Nosc kuanzia miezi mi 3 ya mimba mpaka kujifungua maana huwa natapika kila nilacho mpaka naishiwaga nguvu hebu nitonye hayo madhara
Madhara yake ni yapi sasa mbona huweki wazi?Nosic inakuwa na vitamin b6 pamoja na dawa nyingine ya kuzuia mzio"antihistamine/anti allergy "doxylamine.That's all.
Mie sijasema zina madhara makubwa..hebu pitia hizo thread kwa utulivu.Madhara yake ni yapi sasa mbona huweki wazi?
Pole sana, Kwa kitaalamu tunaita hyperemesis gravidarum, yaani mama mjamzito anatapika kupita kiasi ndani ya miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito na baadae hutoweka , na huambatana na udhia mwingine.Msaada mke wangu ni mjamziyo wa miezi miwili,anatapika sana npo nae hospitali toka juzi,anatapika sana chochote atakachokipitisha mdomoni lazima kirudi. Kuna MTU kaniambia nimchemshie tangawizi ya moto anywe itamsaidia kupunguza kutapika.