Swali:......
kama mtu katumia Arvs kwa muda na meshagundua madhara yake nitawezaje kumsaidia kwan sio kitendo cha kibinadam kumuona mtu anajichimbia kabur hlf nikakaa kimya kama kuna njia mbadala iweke wazi.
Jibu:
Mr. Mangi nilishakujibu swali hili labda hukuliona jibu kwa kuwa huwa naandika mambo mengi sana au sina mpangilio mzuri wa kujibu.Ni hivi;
Suala la kusitisha kutumia ARVs ni zito sana,nilikwambia kwamba si vyema mtu kusitisha kutumia bila kujua vizuri madhara yatakayomtokea na jinsi ya kuyatatua,hili lilitakiwa kuwa suala la serikali kupitia vituo vyake vya afya kuwasaidia wale watakaotaka kusitisha matumizi ya ARVs kama ilivyo kwenye madawa ya kulevya kama heroin.Lakini suala la serikali kushiriki kwenye hili jambo ni kama haiwezekani kwa kuwa hao ndio wametumwa na wenye biashara ya madawa haya ya ARVs kusimamia mauzo ya dawa hizi pengine hata bila kujijua.
Na ndio maana nahangaika sana kuelimisha watu ili waelewe ukweli na hivyo itawasaidia wao au watu wao wa karibu wasianze kabisa kuzitumia dawa hizo pindi watakapo bambikiziwa uongo kwa kupimwa HIV+ na vipimo feki vya HIV.Kuepuka kuanza kutumia ARVs ndio jambo la muhimu na rahisi kuliko lile la kusitisha kutumia.Madhara ambayo yanaweza kutokea baada ya kuacha/kusitisha kutumia ARVs yanaweza kuwa makubwa sana na yanaweza kukusababishia kifo kama huna weledi na pengine utahitaji kupelekwa hospitali ili kuokoa maisha yako, na kama una bahati ya kumpata daktari mzuri na mwelewa basi utapona kabisa na kuondokana na madhara yatakayojitokeza na ndio maana huwa nasema hospitali ni muhimu kujihusisha kwenye hili.
Kumbuka pia nilisema kusitishwa kutumia ARVs ndiko kunakowapa wanaofanya biashara hii maksi/alama nyingi za ushindi na kuwafanya watu waamini kwamba kweli VVU/UKIMWI upo kiuhalisia bila kufahamu kwamba mtu akifa kwa kuacha kutumia ARVs huwa anakufa kwa madhara yanayosababishwa na ARVs ambayo yanayojitokeza baada ya kusitisha kuzitumia.
Fahamu kwamba madhara ya dawa si lazima yajitokeze wakati wa kuzitumia pekee,hata ukiongeza dozi,kupunguza dozi, au kusitisha matumizi.Huu ni ukweli wa kisayansi kabisa kwenye dawa ambazo zinasababisha mfungo/uraibu/addiction,ARVs zinasababisha mfungo/uraibu/addiction kama yalivyo madawa mengi ya kulevya hivyo si rahisi kuacha ghafla kuzitumia bila kukusababishia madhara hasa kama umetumia kwa muda mrefu.Pia si wote wanaopata madhara baada ya kuziacha,hii hutegemea na muda wa kuzitumia na mambo mengine mengi.Kuna post moja ya
MziziMkavukwenye thread yake mwenyewe hapo chini inasema kwamba side effects/madhara ya dawa huweza kutokea pia hata pale unapoacha kuzitumia,dawa za mlengo huu wa kusababisha mfungo/uraibu/addiction ndivyo zilivyo.
UCHUNGUZI WA WANA-SAYANSI Paracetamol hufupisha maisha
Kama mtumiaji wa ARVs anataka kuacha kuzitumia inatakiwa aache taratibu kwa kupunguza dozi na si ghafla huku akitumia dawa zenye nguvu za kuondoa sumu mwilini/very strong detoxifying agents kwa pamoja.Vyakula anavyokula pia vinahusika,inatakiwa ale sana vyakula vyenye asili ya mimea(majani na matunda,si nyama au mafuta au vya kusindikwa).Hiyo ni kwa kifupi,narudia,sishauri mtu aache bila kujua madhara na jinsi nzuri ya kukabiliana nayo.
Nitajaribu kufuata ushauri wako kuhusu lugha ingawa ni ngumu kwa baadhi ya maneno kuyaweka kwa kiswahili, kwa kuwa maneno mengine yanatoka kwenye elimu ambayo kwenye utamaduni wetu hamna.