Dawa ya kuzuia magari madogo kuoza, kwa Dar

Dawa ya kuzuia magari madogo kuoza, kwa Dar

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,595
Reaction score
3,416
Eti wamiliki wa magari madogo kwa DSM, hivi ni gari langu tu nasumbuliwa na kuoza na kupata kutu kwa body, reli za vioo vya madirisha kuoza, milango kwa ndani, katikati na sehemu nyingine au kuna mwingine ana tatizo kama hili.

Je dawa yake ni nini wakuu, milango ya corolla runx imeoza sana, msaada tafadhali...
 
Paka oil
 
Hakimisha gari halilali nje, namaanisha isilale sehemu ya wazi Ili kuepuka umande! Umande ndio chanzo Cha gari kuoza! Nunua car shed au weka hata kivuli Cha mabati.
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Hakikisha gari halilali nje, namaanisha isilale sehemu ya wazi Ili kuepuka umande! Umande ndio chanzo Cha gari kuoza! Nunua car shed au weka hata kivuli Cha mabati.
 
Kuwa makini na maji unayooshea gari, inawezekana unatumia maji yenye chumvi.
 
Hapa ndio advantage ya gari yenye aluminium body
 
Uza nunua Benz hata A class hautajutia hata lilale nje miaka
 
Back
Top Bottom