Insabhunsa Gusa
Senior Member
- May 13, 2011
- 109
- 88
Tafuta mifuko ya plastics yenye tabaka Mbili huwa inazuia wadudu kupata hewa
Sent using Jamii Forums mobile app
sana mkuu nimechukua namba.
brain is the beautiful part of the body.
Noted brother!Asante
sana mkuu nimechukua namba.
brain is the beautiful part of the body.
Navijua mkuu, vinauzwa kuanzia 4000/= per pcs ambacho kinatumika kwa gunia 4 za 100kg. Kama ulivosema zina shelf life ndogo lakini mifuko hiyo inatumika kwa storage for about two(2) seasons of productionKama mzigo ni mwingi ni gharama sana kutumia hii kitu
Bei ni kati ya 3000 mpaka 4000 kwa mfuko mmoja
Labda kama una mahindi kidogo ya chakula
Ushauri wangu tumia dawa ya unga au vidonge unaweka kwenye staker na chini ya ghala,ile harufu ya vile vidonge wadudu wanakufa
IPO ya unga ambayo unaweza changanya kwenye mahindi kwa maana mahindi unayaweka kwenye durubai unachanganya na dawa theni una pack kwenye gunia
Kwa kukwepa usumbufu kwa mzigo mwingi tumia vidonge unavichomeka tu kwenye staked za mahindi kila baada ya miezi 3 kazi imeisha hakuna mdudu atakaye kula mahindi
Vidonge ivi vinapatikana duka la pembejeo
...Kama lengo lako ni kutunza mahindi mengi ili baadae uuze hiyo mifuko haitakufaa kwa sababu bei yake ni elfu tano na pia inahitaji umakini,ikitoboka ni tatizo. Tafuta dawa inaitwa SHUMBA Dust, kichupa kimoja sh elfu 4 na kinatumika kwenye magunia 4. Maduka yote ya pembejeo dawa hiyo inapatikana.Asante sana, wapi mifuko inapatikana na inaitwaje kitaalamu.
Hapa ndo penyewe mkuuKama ni mengi na ni ya biashara vidoge ndo suluhisho bei ni za kawaida 30,000 gunia mia miezi hadi minne na haina usumbufu kwani unaweka vidoge kwenye staker unafuka na turubai hapo hata paka akikatiza anakufa lakini mifuko ni ghari Sana
...Kama lengo lako ni kutunza mahindi mengi ili baadae uuze hiyo mifuko haitakufaa kwa sababu bei yake ni elfu tano na pia inahitaji umakini,ikitoboka ni tatizo. Tafuta dawa inaitwa SHUMBA Dust, kichupa kimoja sh elfu 4 na kinatumika kwenye magunia 4. Maduka yote ya pembejeo dawa hiyo inapatikana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkubwa umebobea sana kwenye masuala ya mahindiHapa ndo penyewe mkuu
Vidonge tu kama mzigo anao mwingi na ni wa biashara
Vidonge vinaitwaje? Ni vema ujataja jina la dawa badala ya kusema vidonge au unga,nkKama mzigo ni mwingi ni gharama sana kutumia hii kitu
Bei ni kati ya 3000 mpaka 4000 kwa mfuko mmoja
Labda kama una mahindi kidogo ya chakula
Ushauri wangu tumia dawa ya unga au vidonge unaweka kwenye staker na chini ya ghala,ile harufu ya vile vidonge wadudu wanakufa
IPO ya unga ambayo unaweza changanya kwenye mahindi kwa maana mahindi unayaweka kwenye durubai unachanganya na dawa theni una pack kwenye gunia
Kwa kukwepa usumbufu kwa mzigo mwingi tumia vidonge unavichomeka tu kwenye staked za mahindi kila baada ya miezi 3 kazi imeisha hakuna mdudu atakaye kula mahindi
Vidonge ivi vinapatikana duka la pembejeo
Kama ni mengi na ni ya biashara vidoge ndo suluhisho bei ni za kawaida 30,000 gunia mia miezi hadi minne na haina usumbufu kwani unaweka vidoge kwenye staker unafuka na turubai hapo hata paka akikatiza anakufa lakini mifuko ni ghari Sana