chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Acteric ya maji pia Ni nzuri unamwaga mahindi then unayapulizia na solo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni mengi na ni ya biashara vidoge ndo suluhisho bei ni za kawaida 30,000 gunia mia miezi hadi minne na haina usumbufu kwani unaweka vidoge kwenye staker unafuka na turubai hapo hata paka akikatiza anakufa lakini mifuko ni ghari Sana
Ukienda duka la pembejeo ukiwauliza tu unavipata....viko poaMkuu tupe jina la hvyo vidonge na umesema haviwekwi ndani ya mifuko unaweviweka kwenye stacker sindio yaani akti ya mfuko na mfuko au
Unayopicha ya hayo mapipa na ni bei gani ?!Au yakoboe tu hapo utakuwa umepona
Ila kwa Kule kwetu moshi tunawekaga mahindi kwenye mapipa ya chuma miaka 500000 nenda ulaya rudi indi liko mukide
Mpe anae kupa
Pipa moja ni 30,000Unayopicha ya hayo mapipa na ni bei gani ?!
Asante mkuu![]()
brain is the beautiful part of the body.