Dawa ya kuzuia pregnancy

Dawa ya kuzuia pregnancy

buvaquine

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
364
Reaction score
171
Habari wanajamvi,

Kuna dogo hapa kitaa katoka kufanya yao na jamaa yake sasa anahisi hajielewi elewi sasa wenye maujuzi ya dawa yoyote, maana huyu dogo anaogopa mimba sana.

Msaada wa tatizo hilo wakuu nini afanye.
 
Habari wana jamvi kuna dogo hapa kitaa katoka kufanya yao na jamaa yake sasa anahisi ajielewi elewi sasa
Wenye maujuzi ya Dawa yoyote, maana huyu dogo anaogopa mimba sana !!!!

Msaada wa tatzo hilo wakuu nn afanye !!!
P2
 
Habari wana jamvi kuna dogo hapa kitaa katoka kufanya yao na jamaa yake sasa anahisi ajielewi elewi sasa
Wenye maujuzi ya Dawa yoyote, maana huyu dogo anaogopa mimba sana !!!!

Msaada wa tatzo hilo wakuu nn afanye !!!

Kwani ukisema tu kwamba ni wewe ndo umeuza match kuna shida gani??? Nenda kanunue Morning After a.k.a P2.... Lakini yasizidi masaa 72!! Pia kumbuka kwamba hizi dawa zina madhara yake mbele ya safari
 
Katoka kufanya hajielew maana tayar anayo Anatafuta njia za kutoa amma!!
 
Tafran asubuhi subuhi yote hii,mwambie atulize nafsi yake kama ipo ataiona na alee tuu huenda akawa Raisi wetu au Waziri..
 
Umeuza mechi makusudi ss tuchane mkeka.... Siyo lea mimba hiyo we ngumbaru
 
eti dogo yan msichana ana hofu ya mimba aje kukusimulia ww hahaha siuseme tu ukweli ndugu unaona aibu humu jf sasa hiyo dawa ukiambiwa pharmacy utaendaje kuinunua
 
Back
Top Bottom