Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
P2Habari wana jamvi kuna dogo hapa kitaa katoka kufanya yao na jamaa yake sasa anahisi ajielewi elewi sasa
Wenye maujuzi ya Dawa yoyote, maana huyu dogo anaogopa mimba sana !!!!
Msaada wa tatzo hilo wakuu nn afanye !!!
Habari wana jamvi kuna dogo hapa kitaa katoka kufanya yao na jamaa yake sasa anahisi ajielewi elewi sasa
Wenye maujuzi ya Dawa yoyote, maana huyu dogo anaogopa mimba sana !!!!
Msaada wa tatzo hilo wakuu nn afanye !!!
anywe maji mengi tatizo litaishaTafran asubuhi subuhi yote hii,mwambie atulize nafsi yake kama ipo ataiona na alee tuu huenda akawa Raisi wetu au Waziri..