Wilson wilfred Member Joined Mar 29, 2014 Posts 26 Reaction score 9 Jul 4, 2014 #21 Ina maana hautaji kuonekanakama ww ni mzee siyo! daah kula mawese kwawingi
S SURUMA JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,892 Reaction score 1,066 Jul 4, 2014 #22 Bryan09 said: Jamani naona dawa zmetajwa nyingi sana,,naomba mwenye kujua dawa ya kuondoa upara anisaidie yani ni shida. Click to expand... Sasa upara una shida gani? Au kazi yako ni kubeba matenga unahofia yatauchubua? Wewe hujui unaogeza personality yako? Tulia na uaraza wako weweee!
Bryan09 said: Jamani naona dawa zmetajwa nyingi sana,,naomba mwenye kujua dawa ya kuondoa upara anisaidie yani ni shida. Click to expand... Sasa upara una shida gani? Au kazi yako ni kubeba matenga unahofia yatauchubua? Wewe hujui unaogeza personality yako? Tulia na uaraza wako weweee!
E emiliani mwaliga Member Joined Aug 21, 2014 Posts 18 Reaction score 1 Aug 22, 2016 #23 sio ustaarabu kudharau point ya mtu