Dawa ya kuzuia upara kichwani

Dawa ya kuzuia upara kichwani

Jamani naona dawa zmetajwa nyingi sana,,naomba mwenye kujua dawa ya kuondoa upara anisaidie yani ni shida.

Sasa upara una shida gani? Au kazi yako ni kubeba matenga unahofia yatauchubua?

Wewe hujui unaogeza personality yako? Tulia na uaraza wako weweee!
 
Back
Top Bottom