Heri ya mwaka mpya wadau wote.
Tafadhalini naomba msaada wa dawa ya kudhibiti wadudu wanaokula mbao za paa la nyumba.
Nyumba yangu ina miaka 6, ila Mafundi wamepanda darini kufanya marekebisho ya umeme na kunieleza kuwa paa langu linaliwa na wadudu.
Tafadhalini naomba mwenye kujuwa dawa ya kuua na kuangamiza hao wadudu anielekeze ili niweze kunusuru nyumba yangu. Natanguliza shukrani