Dawa ya kuzuia wadudu wanaokula mbao za paa la nyuma

Dawa ya kuzuia wadudu wanaokula mbao za paa la nyuma

Marealle

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
14
Reaction score
13
Heri ya mwaka mpya wadau wote.

Tafadhalini naomba msaada wa dawa ya kudhibiti wadudu wanaokula mbao za paa la nyumba.

Nyumba yangu ina miaka 6, ila Mafundi wamepanda darini kufanya marekebisho ya umeme na kunieleza kuwa paa langu linaliwa na wadudu.

Tafadhalini naomba mwenye kujuwa dawa ya kuua na kuangamiza hao wadudu anielekeze ili niweze kunusuru nyumba yangu. Natanguliza shukrani
 
Mkuu ulipata ? Mana nasikia hata kulia hapa wapuuzi sijui wanapaka dawa gani wale mdudu akitafuna unasikia moyo nao unauma huoo
 
Nunua twiga...Ila NI Kali sana au Kama it's pata Vita shield ....hii Kama imetolewa.sokoni mbadala wake NI twiga..(sijawhi kuitumia)Ila Vita shield NI balaa
 
Nunua twiga...Ila NI Kali sana au Kama it's pata Vita shield ....hii Kama imetolewa.sokoni mbadala wake NI twiga..(sijawhi kuitumia)Ila Vita shield NI balaa
Ikoje hiyo unaweza piga hata wakiwa umeshapaua mkuu?
 
Back
Top Bottom