Dawa ni moja tu,"UJINGA".Control Elimu.Wachache wapate Elimu ili uendelee kupata kura nyingi za wajinga.Vipi na dawa ya kuwapenda chichiem milele ni ipi..?
kuongoza awamu 5 si mchezo..!
Walau uwe na kimoja,Pesa au mkojozaji mzuri.Sasa Pesa huna,game mchovu nani atakupenda?Ila ukibahatika vyote basi hapo utagandwa kama kupe.......na kukojoza.....
Hiyo ni mara chache sana ukilinganisha na wake za mafukara wanaoliwa na wenye Pesa.Kama umezoea kuwadate wale wa uwanja wa fisi, basi fikra zako ni sahihi.
Kiuhalisia mapenzi ni zaidi ya pesa, yanatanguliwa na hisia.Pesa ni muhimu kwenye mahusiano lakini sii lazima iwe kitovu cha mahusiano.
Hujawahi kuona mke wa tajiri anachepuka na viserengeti vya mitaani visivyokuwa na chochote?
Hujabahatika kukutana na wenye pesa,hao uliokutana nao wanajiita wanapesa kumbe ana kagari kakutembelea na hela ya tubia.Pesa unapelekwa shopping Dubai,unapewa gari ya mil 200 huchomoi.Mie huwa nampenda mwanamme kama alivyo hata asiponipa pesa! Mahaba yake, figure yake, lugha yake, utundu wake, kujali kwake hata kama sio pesa, anavyo respond na mengineyo mengi. Mie NAPENDA KUPENDWA
Mie huwa nampenda mwanamme kama alivyo hata asiponipa pesa! Mahaba yake, figure yake, lugha yake, utundu wake, kujali kwake hata kama sio pesa, anavyo respond na mengineyo mengi. Mie NAPENDA KUPENDWA
Duu hii concept sijaielewa yaani ule papuchi kwa kuvaa shanga ?Kuna jamaa alikua anakula papuch sana kisa! Alivaa shanga moja kiunoni,basi akila demu na demu akiona ile shanga anakwenda wahadithia wenzie,na wenzie wanajitongozesha ili wakaone shanga,basi alikula sana papuch na kukonga nyoyo.
Eeeh Figure hapa ulimaanisha nini jamani ? Ina maana na upare wangu na huu ufupi sifai ?Mie huwa nampenda mwanamme kama alivyo hata asiponipa pesa! Mahaba yake, figure yake, lugha yake, utundu wake, kujali kwake hata kama sio pesa, anavyo respond na mengineyo mengi. Mie NAPENDA KUPENDWA