Dawa ya maajabu ya kupendwa na wanawake milele, ha haaa

Dawa ya maajabu ya kupendwa na wanawake milele, ha haaa

Vipi na dawa ya kuwapenda chichiem milele ni ipi..?
kuongoza awamu 5 si mchezo..!
Dawa ni moja tu,"UJINGA".Control Elimu.Wachache wapate Elimu ili uendelee kupata kura nyingi za wajinga.
 
Kama umezoea kuwadate wale wa uwanja wa fisi, basi fikra zako ni sahihi.

Kiuhalisia mapenzi ni zaidi ya pesa, yanatanguliwa na hisia.Pesa ni muhimu kwenye mahusiano lakini sii lazima iwe kitovu cha mahusiano.

Hujawahi kuona mke wa tajiri anachepuka na viserengeti vya mitaani visivyokuwa na chochote?
Hiyo ni mara chache sana ukilinganisha na wake za mafukara wanaoliwa na wenye Pesa.
 
Mie huwa nampenda mwanamme kama alivyo hata asiponipa pesa! Mahaba yake, figure yake, lugha yake, utundu wake, kujali kwake hata kama sio pesa, anavyo respond na mengineyo mengi. Mie NAPENDA KUPENDWA
Hujabahatika kukutana na wenye pesa,hao uliokutana nao wanajiita wanapesa kumbe ana kagari kakutembelea na hela ya tubia.Pesa unapelekwa shopping Dubai,unapewa gari ya mil 200 huchomoi.
 
Unaweza kua na mwanaume mwenye pesa ila usipomwona siku hata atume dollar ngapi haisadii...
Mapenzi haya yametukamata wengine lol
 
Mie huwa nampenda mwanamme kama alivyo hata asiponipa pesa! Mahaba yake, figure yake, lugha yake, utundu wake, kujali kwake hata kama sio pesa, anavyo respond na mengineyo mengi. Mie NAPENDA KUPENDWA
239c013e984bf572a045de47151777c8.jpg
 
Kuna jamaa alikua anakula papuch sana kisa! Alivaa shanga moja kiunoni,basi akila demu na demu akiona ile shanga anakwenda wahadithia wenzie,na wenzie wanajitongozesha ili wakaone shanga,basi alikula sana papuch na kukonga nyoyo.
Duu hii concept sijaielewa yaani ule papuchi kwa kuvaa shanga ?
 
Mie huwa nampenda mwanamme kama alivyo hata asiponipa pesa! Mahaba yake, figure yake, lugha yake, utundu wake, kujali kwake hata kama sio pesa, anavyo respond na mengineyo mengi. Mie NAPENDA KUPENDWA
Eeeh Figure hapa ulimaanisha nini jamani ? Ina maana na upare wangu na huu ufupi sifai ?
 
Hii thread wameview wengi hadi mm, ili nione hiyo dawa maana hii ni nchi ya viwanda
 
So kama dawa ya mwanaume the kupendwa na wanawake ni pesa.. Na dawa ya kupendwa Mwanamke ni nn
 
Back
Top Bottom