Tumia vitunguu swaumu..menya punje tatu zitafune mdomoni ndani ya dakika 5 kisha meza kwa maji...fanya hivi kila siku.Msaada anayejua dawa ya maambukizi kwenye ulimi kwa jina la Geographical toungue kama inavyoonekana hapo kwenye picha.
Niliambiwa ni upungufu wa vitamin C, nikaandikiwa dawa za Vitamin C, nikaambiwa nile vyakula vyenye Vitamin C lakini wapi.
Je, kuna yeyote anafahamu huu ugonjwa na dawa yake?
NB: Sijawahi kufanya mapenzi kwa njia ya mdomo wala kulana denda. (Maana kila mtu huwa anafikria hivyo).
Msaada aisee mtoto wangu ana hili tatizo,,, nasubiri shule zifungwe nimpeleke hospital,,, najiuliza tatizo litakuwa nn mpk atokee huo uvimbe na tiba itakuwajeTumia mouth wash haswa za colgate asubuhi na jion baada ya kubrash meno yako na ujitahidi uwe unapiga mswaki mara mbili kwa siku hope itakusaidia.
Lakini tambua ina maumivu kiasi so usiache kutumia ndani ya wiki moja yaweza kuwa yameisha kabisa kama shida ni hiyo.
Afadhali umemsaidia kupunguza makali ya majibu ya hovyo ya JF...Geographical tongue haina tiba na inarithi sababu yake haijulikani moja kwa moja ila inahusishwa na upungufu wa vit B2&B12 na huwa inakawaida ya kuja na kupotea kinachoweza kukusaidia meza supplements za multvitamins kila siku kimoja hiyo hali itapungua lakini haitakwisha kabisa.