Dawa ya macho ilisababisha kuwekwa nyuma ya nondo ugenini msumbiji jijin nampula

Vipi hawakutishia kukuua? Maana askari wa Msumbiji akili zao wanzijua wenyewe
 
Ungekubali hayo yote yasingekukuta......tena ungesafirishwa bure hadi maputo kwa escort nzito ya maaskar. Next time jiongeze ungekifika maputo wangepima na kukuachia uende zako.
 
Good idea aisee umenipa akili mkuu
 
Back
Top Bottom